Mechi za CAF za vilabu afrika Azam TV anapewa bure (FTA) je, kwanini wao wanarusha kwenye pay TV kama Azamsport hd1 na si channel za bure?

Yaani unataka Azam alipe camera crew,mafundi mitambo,wachambuzi na Bill za umeme ..halafu wewe uone Bure yaani full HD....Laumu serikali Yako kushindwa kurusha kupitia tbc
 
Sina hakika kama CAF wana ukwasi wa kuwawezesha kutoa bure broadcasting rights. To the best of my knowledge, Dstv International, SABC and AZAM are the only 3 coys with such rights.
No free lunch
 
HARUSIWI KUUZA ELEWA HAPO NDO MAANA ANACHUKUA KWA MGONGO [/QUOTE]HARUSIWI KUUZA ELEWA HAPO NDO MAANA ANACHUKUA KWA MGONGO WA ZBC2
 
Watanzania nmnapenda vitu vizuri lakini msilipie.
Hivi mkuu bila kulipia hiyo kampuni na wafanyakazi atawalipa nani?
Bora uwalaumu tbc maana ndiyo televisheni ya taifa. Azam ni kampuni binafsi haiendeshwi kwa ruzuku.
 
Azam Tv ni kikundi cha MATAPELI. Time will tell.
 
azam wajanja sana huwa wanazionesha kwenye ZBC2

ZBC ni television ya taifa zanzibar sababu wanapewa bure
Hyo zbc2 ni ya azam

Ni kama tbc2 ni ya startimes(startimes waliitengeneza ili iboost kuuza ving'amuz vyao kwa kuonesha kombe la dunia
 
HARUSIWI KUUZA ELEWA HAPO NDO MAANA ANACHUKUA KWA MGONGO

Boss una ushahidi na unachoongea? Hii ni website ya Caf walipotangaza walioshinda Tenda


Msitumie page za FB kama source jifunzeni kutembelea first party sources.

Azam na Sabc pia wana haki ya paytv utofauti na Supersport ni Lugha, SS ana haki ya kuonesha Kingereza, As long as Azam Hatumii kingereza basi ana haki ya Kuonesha CAF kwenye Paytv.
 
Yaani unataka Azam alipe camera crew,mafundi mitambo,wachambuzi na Bill za umeme ..halafu wewe uone Bure yaani full HD....Laumu serikali Yako kushindwa kurusha kupitia tbc
Kuna watu wanazani bado tupo enzi za Ujamaa, Washtueni kua tupo kwenye ubepari promax, ukitaka kitu kizuri unalipia
 
Hiyo ndiyo channel yao kwa ajili ya michezo,sasa yeye ana kituo chake cha azam unataka azam akarushe TBC
Fikirieni kabla ya kulaumu,
Hakuna cha bure,cha bure kinaumiza tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…