Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
- Thread starter
- #21
NI BURE NA UONESHE BUREKwani makubaliano ya Azam na anayempa yakoje?
Anakatazwa kuuza au hakatazwi?
Hicho ndicho kitu muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI BURE NA UONESHE BUREKwani makubaliano ya Azam na anayempa yakoje?
Anakatazwa kuuza au hakatazwi?
Hicho ndicho kitu muhimu.
Suala si kuwa ni bure au si bure, mkataba unasemaje?NI BURE NA UONESHE BURE
Mitambo inayotumika huwa niya CAFYaani unataka Azam alipe camera crew,mafundi mitambo,wachambuzi na Bill za umeme ..halafu wewe uone Bure yaani full HD....Laumu serikali Yako kushindwa kurusha kupitia tbc
HARUSIWI KUUZA ELEWA HAPO NDO MAANA ANACHUKUA KWA MGONGO [/QUOTE]HARUSIWI KUUZA ELEWA HAPO NDO MAANA ANACHUKUA KWA MGONGO WA ZBC2Suala si kuwa ni bure au si bure, mkataba unasemaje?
Azam anaweza kupewa bure, kwa mkataba kwamba asiuze.
Azam anaweza kupewa bure, bila sharti kwamba asiuze.
Sasa mkataba kati ya Azam na aliyempa Azam unasemaje? Azam kakatazwa kuuza au hakukatazwa?
Weka mkataba au source inayosema haruhusiwi kuuza tuichambue hapa.HARUSIWI KUUZA ELEWA HAPO NDO MAANA ANACHUKUA KWA MGONGO
Watanzania nmnapenda vitu vizuri lakini msilipie.Je huu sio utapeli kwa watanzania? kama unapewa haki ya kurusha matangazo bure kwanini we uuze? Tunaomba ufafanuzi kwenye hili kabla mechi za timu za Tanzania za leo. Pia TCRA, TFF, FCC na wizara ya sanaa na michezo mpo wapi? kwani hamlijui hili swala na je nyie wachambuzi hamlioni hili pia? au mpaka mama aongee mwenyewe?
Azam Tv ni kikundi cha MATAPELI. Time will tell.Je huu sio utapeli kwa watanzania? kama unapewa haki ya kurusha matangazo bure kwanini we uuze? Tunaomba ufafanuzi kwenye hili kabla mechi za timu za Tanzania za leo. Pia TCRA, TFF, FCC na wizara ya sanaa na michezo mpo wapi? kwani hamlijui hili swala na je nyie wachambuzi hamlioni hili pia? au mpaka mama aongee mwenyewe?
KASOME KANUNU ZA FTA NA SKU WAMEPEWA HYO TENDA WALIPOSTWeka mkataba au source inayosema haruhusiwi kuuza tuichambue hapa.
Hyo zbc2 ni ya azamazam wajanja sana huwa wanazionesha kwenye ZBC2
ZBC ni television ya taifa zanzibar sababu wanapewa bure
IPO SIKU WATAKUJA KUKUTUTWA NA JAMBO WOTE TUTAKUA MASHAIDI UJANJA WA KPUMBAVU WAWAFANYIE WABONGO WENZAOAzam wapo kibiashara zaidi, wanalenga faida.
ZBC2 N CHANNEL YA TAIFA YA ZANZIBARHyo zbc2 ni ya azam
Ni kama tbc2 ni ya startimes(startimes waliitengeneza ili iboost kuuza ving'amuz vyao kwa kuonesha kombe la dunia
HARUSIWI KUUZA ELEWA HAPO NDO MAANA ANACHUKUA KWA MGONGO
Nisome wapi? Weka link hapa.KASOME KANUNU ZA FTA NA SKU WAMEPEWA HYO TENDA WALIPOST
Mtu eti amenunua king'amuzi anashindwa kulipia kwa mwezi, si bora kwenda kuangalia kibanda umiza tu, kuliko kungojea matukio ya msamaha tu.Acha tulipie tuangalie vizuri. Hao TBC WASIO NA MATUMAINI
Kuna watu wanazani bado tupo enzi za Ujamaa, Washtueni kua tupo kwenye ubepari promax, ukitaka kitu kizuri unalipiaYaani unataka Azam alipe camera crew,mafundi mitambo,wachambuzi na Bill za umeme ..halafu wewe uone Bure yaani full HD....Laumu serikali Yako kushindwa kurusha kupitia tbc