Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rage alishamaliza kuwaita mbumbumbu, mnazo akili za kuvukia barabara tu na ndivyo ilivyo, yanga inawatesa sana, mmebaki na ujinga vichwani mwenu ambao utaendelea kuwacost, nyie mmefaidika mara ngapi na hao waamuzi? Mlipokuwa mnabeba ubingwa mfululizo mlikuwa mnahonga wangapi? Kunya anye bata akinya kuku amearisha, kwani simba pesa za kuhonga zilikwisha baada ya misimu 4, kama ni rahisi si mkahonge na nyie, watu wajinga wajinga kama nyie ndio virusi kwenye mpira wetu badala ya kusajili wachezaji wa maana wakupe matokeo unakwenda kuokota wachezaji wa elfu kumi kumi kama mafungu ya mchicha alafu still unataka upate matokeo yale yale anayopata mwenzako aliyewekeza kwa kununua wachezaji wa gharama na wenye quality utakuwa ni punguani sio bure, matokeo yake unaanza habari za kwenye vijiwe vya kahawa za kununua mechi, ukipanda bangi usitegemee kuvuna mchicha kila mtu anavuna alichokipanda yanga ni unbeaten kutokana na ubora wa kikosi chao na wanashinda mechi zao kutokana na ubora wao, wivu wako wewe auwezi kubadili chochote utaendelea kuugulia maumivu tu na kuimba hizo ngonjera zako mpaka unaweza kujinyonga bure kwa maana ndo kwanza yanga inaendelea kuimarika kila sikuNimekuwa nikisema kuwa matumizi ya pesa kwenye mpira kufanya ushawishi kwa wachezaji wa timu pinzani, kwa waamuzi na wachambuzi wa mchongo, matokeo yake yataonekana mechi za kimataifa.
Katika mechi hizi hakuna cha wazee waliopigania uhuru wala sijui mashabiki wa ukweli, Ni uwezo wa wachezaji na akili. Mechi hizi siyo za kukamia kama inavyofanyika kwenye ligi yetu.
Kama mnataka kushinda punguzeni matumizi ya vipesa vya kuhonga honga na kutumia wazee kuwatia kiwewe makochaa wa timu pinzani wafanye mabadiliko ya kijinga.
Wekezeni kwenye uwanja kuliko kuwekeza nje ya uwanja na propaganda nyingi.
Wape salaam.