Mechi za kimataifa ni ngumu sana kwa timu iliyozoea kuhonga na kubebwa

Rage alishamaliza kuwaita mbumbumbu, mnazo akili za kuvukia barabara tu na ndivyo ilivyo, yanga inawatesa sana, mmebaki na ujinga vichwani mwenu ambao utaendelea kuwacost, nyie mmefaidika mara ngapi na hao waamuzi? Mlipokuwa mnabeba ubingwa mfululizo mlikuwa mnahonga wangapi? Kunya anye bata akinya kuku amearisha, kwani simba pesa za kuhonga zilikwisha baada ya misimu 4, kama ni rahisi si mkahonge na nyie, watu wajinga wajinga kama nyie ndio virusi kwenye mpira wetu badala ya kusajili wachezaji wa maana wakupe matokeo unakwenda kuokota wachezaji wa elfu kumi kumi kama mafungu ya mchicha alafu still unataka upate matokeo yale yale anayopata mwenzako aliyewekeza kwa kununua wachezaji wa gharama na wenye quality utakuwa ni punguani sio bure, matokeo yake unaanza habari za kwenye vijiwe vya kahawa za kununua mechi, ukipanda bangi usitegemee kuvuna mchicha kila mtu anavuna alichokipanda yanga ni unbeaten kutokana na ubora wa kikosi chao na wanashinda mechi zao kutokana na ubora wao, wivu wako wewe auwezi kubadili chochote utaendelea kuugulia maumivu tu na kuimba hizo ngonjera zako mpaka unaweza kujinyonga bure kwa maana ndo kwanza yanga inaendelea kuimarika kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…