Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Kuna foward hapo mble zifunge gori mpango wa kusema dawa sijui nini hakuna tunataka ushindi
 
Reactions: SDG
Ningekuwa kocha hao wanaolilia dawa ningwapa sub ya haraka sana hao mbao wameanza kuroga jana mbona wanaangalia shimoni kama wachawi imani huja kwa kusikia yanga wamesikia wanaamini miguu inatetemeka akili gani ya kitoto hiyo
 
Dak 67 Simba 2-1 Mwadui......Simba wanausogelea ubingwa kutoka magoli 12 sasa wanahitaji magoli 11 huku wakiombea Yanga afungwe.
 
doh mbao,nao ni wakamiaji asee..licha ya tff kuwekea yanga kombe mezan kabsa,bdo iv vijamaa vimekamia tu...
 
Ningekuwa kocha hao wanaolilia dawa ningwapa sub ya haraka sana hao mbao wameanza kuroga jana mbona wanaangalia shimoni kama wachawi imani huja kwa kusikia yanga wamesikia wanaamini miguu inatetemeka akili gani ya kitoto hiyo
Hata makocha wenyewe ni sehemu ya imani.
 
70' Mins | Simba 2 - 1 Mwadui

19' Shiza Kichuya (Simba)
25' Ibrahim Ajib (Simba)
43' Paul Nonga (Mwadui)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…