BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Furaha niliyokuwa nayo tokea asubuhi inayeyuka,Yanga fungeni mbao hapo tuserebuke sie
Kwan ikibaki ivo ivo inakuaje!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha niliyokuwa nayo tokea asubuhi inayeyuka,Yanga fungeni mbao hapo tuserebuke sie
hahah,watakuw wamekitoa mkuu mana niskia kw redio iyo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hakihusiani na mchezo KITOLEWE
Wao badala ya kuwekeza tangu mwanzo wa ligi wanakuja kuwekeza leo Golinihahah,watakuw wamekitoa mkuu mana niskia kw redio iyo..
Hah..n hatar awa jamaa.Eeh...mbao wachawi balaa
Dk ya 75 Yanga amerudisha goli!Dk 69 bado Mbao wamekaza
Hata makocha wenyewe ni sehemu ya imani.Ningekuwa kocha hao wanaolilia dawa ningwapa sub ya haraka sana hao mbao wameanza kuroga jana mbona wanaangalia shimoni kama wachawi imani huja kwa kusikia yanga wamesikia wanaamini miguu inatetemeka akili gani ya kitoto hiyo
Tunachukua ubingwa mkuu
Hahahah...wanakarbia..Dak 67 Simba 2-1 Mwadui......Simba wanausogelea ubingwa kutoka magoli 12 sasa wanahitaji magoli 11 huku wakiombea Yanga afungwe.