Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Ningekuwa mm ni simba ningejitoa kwenye ligi you kwani miaka mingi sjapata kombe.
 
Yaani kuongoza ligi kwa tofauti ya point 8 tena kwa kipindi kirefu adi kudondokea nafasi ya 2 mwishoni mwa ligi???
Hapana kuna sehemu simba imekosea either kwenye safi ya uongozi au kwa wachezaji, tena bila kurekebisha hili mwakani yatakua yaleyale!
 
Najiuliza hii jeuri ya TFF kugawa zawadi wakati kuna rufaa FIFA inatoka wapi? Hata kama wanadhani rufaa haina mashiko wanashindwa kuheshimu mfumo wa kutoa haki unaotambulika kimataifa? Ningewashangaa viongozi wa simba kama wabgekubali kupokea hizo zawadi
 
Mi nashauri hilo kombe wapewe Simba wakae nalo wakati wanasubiri maamuzi ya Fifa, ikionekana Simba wameshinda rufaa basi watabki nalo, na ikitokea wameshindwa basi walipeleke yanga na wao wchukue zawadi yao ya mshindi wa pili
 
Uliambiwa ligi imesimama? Acheni hizo. Forgery waliyofanya baadhi ya wajumbe kuhalalisha kadi isiokuwepo itawapa ban ya maisha. Subiri muone, Kulialia FC!!
 
Yote haya kayasababisha Kagera kumpiga simba 2....... Kagera Mungu anawaona
 
Haina sababu ya kupokea zawadi za mpora kombe Malinzi wa yanga. Kamati ya uendeshaji wa ligi ilishatoa point 3. Malinzi kapora na inshomile wenzake leo simba watapokeaje zawadi ya mtu aliyewapora? Tuwe wakweli unatoaje kombe ambalo tayari limekatiwa rufaa.
 
Simba wajikite kwenye maandalizi dhidi ya mbao. Maana ubao umemchoma chura mara mbili bila aibu. Haya mambo ya vita na inshomile wawaachie kina kaburu na Aveva.
 
Mkuu unaharaka gani "Simba wamegonea zawadi" Mara uwabja hahaha Ndala Fc buana
 
SHOTI ENDI KRIA.
Kria kuwa point hazitafutwi mezani? Ref: T.Mazembe vs Simba , Serengenti boys ilitolewa kwa sababu ya Nurdin Bakhari kuzid umri, Serengeti imeitoa DRC Congo juzijuzi tu. Leta sababu za msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…