Iyo unasemea ya Refa kuchezesha ovyo. Hata Afrika maamuzi ya refa hayapingwi. Anawajibishwa refaWatu wengi sana nimekuwa nikiwaambia hii point. Hakuna watu wanaoheshimu matokeo ya uwanjani kama ngozi nyeupe. Adhabu itatolewa kwa aliyefanya uzembe lakini matokeo ya uwanjani hubaki kama ilivyokuwa.
FactKria kuwa point hazitafutwi mezani? Ref: T.Mazembe vs Simba , Serengenti boys ilitolewa kwa sababu ya Nurdin Bakhari kuzid umri, Serengeti imeitoa DRC Congo juzijuzi tu. Leta sababu za msingi
Hapana,mahakama ya usuluhishi wa michezo ndiye atakae toa hukumu. Ilishawahi kutokea huko Italy.Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Huwezi shangilia mkeo - wakati unaye kila siku kitandani.Yanga mnaogopa hata kushangilia kombe naona instagram kumepoa kweli au mshatonywa kuwa huo ni ubingwa hewa nini.....
Tatizo FIFA sio msiba kwamba mtaiba rambirambi kama kawa, tulieni dawa iwaingie.
HahahaBingwa Mara 27 ubingwa wa afrika hata NUSU FAINALI hakuna
Hayo mashindano uliyotaja yalikuwa yanasimamiwa na tff? Rufaa zao zilitolewa maamuzi na tff?Kria kuwa point hazitafutwi mezani? Ref: T.Mazembe vs Simba , Serengenti boys ilitolewa kwa sababu ya Nurdin Bakhari kuzid umri, Serengeti imeitoa DRC Congo juzijuzi tu. Leta sababu za msingi
izo ngozi nyeupe kama kuna kosa wana kupa ponit zako mwaka 2015 kwny copa dey ley madrid alimfunga Cadiz 3 kwa 1 ikaja julikana Denis Cheryshev alikuwa na yellow card aliopata alipokuwa villareal kilichofata cadiz wakapewa ushindi wa goli 3 na real wakatolewaWatu wengi sana nimekuwa nikiwaambia hii point. Hakuna watu wanaoheshimu matokeo ya uwanjani kama ngozi nyeupe. Adhabu itatolewa kwa aliyefanya uzembe lakini matokeo ya uwanjani hubaki kama ilivyokuwa.
Rejea cku simba alipo nyaganya point zkeMkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Hebu Google case ya yule goalkeeper wa Egypt alichosababisha kwa FC sion ya Zurich dhidi ya Celtic ya ScotlandWatu wengi sana nimekuwa nikiwaambia hii point. Hakuna watu wanaoheshimu matokeo ya uwanjani kama ngozi nyeupe. Adhabu itatolewa kwa aliyefanya uzembe lakini matokeo ya uwanjani hubaki kama ilivyokuwa.
Ndoa hutenguliwa kwa sheria na hufungwa kwa sheria,tatizo liko wapi.Haaah sio rahis, bingwa tayari kakabidhiwa Kombe lake...unadhan kuipoka Yanga kombe kazi rahisi? Huwezi pata kombe baada ya kukabidhiwa kwingine
Wapewe kupitia grounds zipi wakati hawakufuata utaratibu na vigezo vya kukataa rufaa (ada ya rufaa e.g Polisi Dar issue). Kwenye kamati ya 72 hrs waliwaingiza kutoa maamuzi watu ambao si wajumbe. Labda kama wamemis kuchana mkeka!Huyu jamaa ameuliza vizuri sana wajuzi msaidieni ata mimi natamani nijue hapa nn ktatokea endapo fifa wataipa simba point3?
Hivi Kwa mfano ingekuwa Simba 2 - Kagera 1 halafu Simba wanyang'anywe point. Ingekuwaje jamani? Naona wangeenda kukata rufaa sayari ya Mars!Yote haya kayasababisha Kagera kumpiga simba 2....... Kagera Mungu anawaona
Saudi Football Association revealed earlier that FIFA willdeduct three points from Ittihad Jeddah due to a case filed against the club as they failed to pay late dues to former player Daniel Alejandro.Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Siyo jeuri TFF imewapa simba barua kuwa Faki hakuwa na kadi 3 za njano sasa huko FIFA wanashindajeNajiuliza hii jeuri ya TFF kugawa zawadi wakati kuna rufaa FIFA inatoka wapi? Hata kama wanadhani rufaa haina mashiko wanashindwa kuheshimu mfumo wa kutoa haki unaotambulika kimataifa? Ningewashangaa viongozi wa simba kama wabgekubali kupokea hizo zawadi
Mkuu Unakumbuka sababu alizotoa katibu mkuu wa TFF Kuhusu hili jambo? nikukumbushe tu hakugusia kabisa issue ya kadi 3 badala yake alisema simba imekata rufaa nje ya muda, hawakulipa ada ya rufaa na kuna wajumbe ambao hawakustahili kuwepo kwenye ile kamati iliyo ipoka kagera points! Taarifa zisizo rasmi zinasema report ya referee inatofautiana na ya kamisaa, Tukubaliane kitu kimoja hili suala lina utata mwingi na ndio maana nikasema kulikuwa na ugumu gani kusubiri maamuzi ya FIFA kabla ya kukabidhi zawadi?Siyo jeuri TFF imewapa simba barua kuwa Faki hakuwa na kadi 3 za njano sasa huko FIFA wanashindaje
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Wamchukue tu mganga wao.Simba msajilini beki 5 na kipa wa mbao