Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Watu wengi sana nimekuwa nikiwaambia hii point. Hakuna watu wanaoheshimu matokeo ya uwanjani kama ngozi nyeupe. Adhabu itatolewa kwa aliyefanya uzembe lakini matokeo ya uwanjani hubaki kama ilivyokuwa.
Iyo unasemea ya Refa kuchezesha ovyo. Hata Afrika maamuzi ya refa hayapingwi. Anawajibishwa refa
 
Kria kuwa point hazitafutwi mezani? Ref: T.Mazembe vs Simba , Serengenti boys ilitolewa kwa sababu ya Nurdin Bakhari kuzid umri, Serengeti imeitoa DRC Congo juzijuzi tu. Leta sababu za msingi
Fact
 
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Hapana,mahakama ya usuluhishi wa michezo ndiye atakae toa hukumu. Ilishawahi kutokea huko Italy.
Nafikiri hakuna sababu ya kila upande kutoa povu,ni kusubiri tu.
 
Yanga mnaogopa hata kushangilia kombe naona instagram kumepoa kweli au mshatonywa kuwa huo ni ubingwa hewa nini.....

Tatizo FIFA sio msiba kwamba mtaiba rambirambi kama kawa, tulieni dawa iwaingie.
Huwezi shangilia mkeo - wakati unaye kila siku kitandani.
 
Kria kuwa point hazitafutwi mezani? Ref: T.Mazembe vs Simba , Serengenti boys ilitolewa kwa sababu ya Nurdin Bakhari kuzid umri, Serengeti imeitoa DRC Congo juzijuzi tu. Leta sababu za msingi
Hayo mashindano uliyotaja yalikuwa yanasimamiwa na tff? Rufaa zao zilitolewa maamuzi na tff?
Simba ishakata rufaa kwenye taasisi inayosimamia ligi husika na maumuzi yashatoka tayari.
Huko unakotaja hakuna mwenye rekodi za mechi za kila siku za ligi kuu zaid ya tff.
Sakata la Nurdin na Tp Mazembe ni kwenye mashindano yanayosimamiwa na Caf na huko Simba ndiko alikopata haki yake.
Hapa maamuzi ya Fifa ni kuitaka tff irejee maamuzi yao na ipeleke vielelezo vya hukumu yao tu na sio kuipa Simba point. Kama mashindano hayo yanasimamiwa moja kwa moja na Fifa basi Simba atapewa hizo point moja kwa moja. Sasa fikiri tff ileile itoe point tena kwa Simba?
 
1507dc94ae6dfb3bf7fd66897c33a4bc.jpg
 
Watu wengi sana nimekuwa nikiwaambia hii point. Hakuna watu wanaoheshimu matokeo ya uwanjani kama ngozi nyeupe. Adhabu itatolewa kwa aliyefanya uzembe lakini matokeo ya uwanjani hubaki kama ilivyokuwa.
izo ngozi nyeupe kama kuna kosa wana kupa ponit zako mwaka 2015 kwny copa dey ley madrid alimfunga Cadiz 3 kwa 1 ikaja julikana Denis Cheryshev alikuwa na yellow card aliopata alipokuwa villareal kilichofata cadiz wakapewa ushindi wa goli 3 na real wakatolewa
 
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Rejea cku simba alipo nyaganya point zke
huyu mchezaji wa kagera alikuwa na kadi 3 za njano ila hao TFF walidai simba alichelewa kulipa hela ya kukataa rufaa matokeo ndo maana wamenyaganywa point 3 na sio kwasababu mchezaji wa kagera hakuwa na kadi 3 za njano.

Alitolewa madrid cope dey ral kwa kumchezesha mchezaji mwny kadi za njano Denis Cheryshev y simba asipewe point zke
 
Watu wengi sana nimekuwa nikiwaambia hii point. Hakuna watu wanaoheshimu matokeo ya uwanjani kama ngozi nyeupe. Adhabu itatolewa kwa aliyefanya uzembe lakini matokeo ya uwanjani hubaki kama ilivyokuwa.
Hebu Google case ya yule goalkeeper wa Egypt alichosababisha kwa FC sion ya Zurich dhidi ya Celtic ya Scotland
 
Haaah sio rahis, bingwa tayari kakabidhiwa Kombe lake...unadhan kuipoka Yanga kombe kazi rahisi? Huwezi pata kombe baada ya kukabidhiwa kwingine
Ndoa hutenguliwa kwa sheria na hufungwa kwa sheria,tatizo liko wapi.
 
Huyu jamaa ameuliza vizuri sana wajuzi msaidieni ata mimi natamani nijue hapa nn ktatokea endapo fifa wataipa simba point3?
Wapewe kupitia grounds zipi wakati hawakufuata utaratibu na vigezo vya kukataa rufaa (ada ya rufaa e.g Polisi Dar issue). Kwenye kamati ya 72 hrs waliwaingiza kutoa maamuzi watu ambao si wajumbe. Labda kama wamemis kuchana mkeka!
 
Yote haya kayasababisha Kagera kumpiga simba 2....... Kagera Mungu anawaona
Hivi Kwa mfano ingekuwa Simba 2 - Kagera 1 halafu Simba wanyang'anywe point. Ingekuwaje jamani? Naona wangeenda kukata rufaa sayari ya Mars!
 
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Saudi Football Association revealed earlier that FIFA willdeduct three points from Ittihad Jeddah due to a case filed against the club as they failed to pay late dues to former player Daniel Alejandro.

The club’s administration said that the decision was made despite the great efforts made to stop it by the board. Even though the three points will have a big impact on the team’s position in the table, the club said that they trust that fans and players will be able to push the team and compete to win the title.

The Tigers are currently in third place in the Saudi Professional League behind Al Nassr in second place and Al Hilal who are on top of the table.

SHARE:
 
Najiuliza hii jeuri ya TFF kugawa zawadi wakati kuna rufaa FIFA inatoka wapi? Hata kama wanadhani rufaa haina mashiko wanashindwa kuheshimu mfumo wa kutoa haki unaotambulika kimataifa? Ningewashangaa viongozi wa simba kama wabgekubali kupokea hizo zawadi
Siyo jeuri TFF imewapa simba barua kuwa Faki hakuwa na kadi 3 za njano sasa huko FIFA wanashindaje

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Siyo jeuri TFF imewapa simba barua kuwa Faki hakuwa na kadi 3 za njano sasa huko FIFA wanashindaje

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Mkuu Unakumbuka sababu alizotoa katibu mkuu wa TFF Kuhusu hili jambo? nikukumbushe tu hakugusia kabisa issue ya kadi 3 badala yake alisema simba imekata rufaa nje ya muda, hawakulipa ada ya rufaa na kuna wajumbe ambao hawakustahili kuwepo kwenye ile kamati iliyo ipoka kagera points! Taarifa zisizo rasmi zinasema report ya referee inatofautiana na ya kamisaa, Tukubaliane kitu kimoja hili suala lina utata mwingi na ndio maana nikasema kulikuwa na ugumu gani kusubiri maamuzi ya FIFA kabla ya kukabidhi zawadi?
 
FIFA kwa wazungu, TFF kwa wahaya tuone mapambano hapo wakionyeshana umwamba
 
Hatimae Klabu bingwa Tanzania Bara Yanga imejivunjia heshima Kwa kuuza mechi yake Kwa klabu ya mbao
 
Back
Top Bottom