Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

wamelipwa sh. ngapi? na hao wanunuzi wana uwezo wa kuwalipa kweli?
 
Daah!,niliangalia ile game mwanzo mwisho ukweli mbao walicheza mpira kwa nguvu sana ili washinde wasishuke daraja na walifanikisha malengo yao.Hakuna ubishi.
 
Hatimae Klabu bingwa Tanzania Bara Yanga imejivunjia heshima Kwa kuuza mechi yake Kwa klabu ya mbao
Kwa hali ilivyo ni ngumu sana yanga kuwaza issue ya kuuza mechi wakati kuwa na point 68 kunamweka kwenye hatihati ya kumkabidhi simba ubingwa endapo Simba atapewa point zake tatu walizopokonywa kipuuzi
 
Upuuzi mlidhani hao ni toto?? Mwanza sasa tumepata team ya ushindani mkija mjiandae..

Hakuna point za bure bure..
 
Wauze wakati wanajua FIFA wanakuja na point tatu za wenyewe?
 
Ni kweli linautata kwasababu ni kipi kiliwafanya kamati ya SAA 72 kujadili rufaa ilotolewa nje ya muda? Na nini kiliwafanya wamwite refa kutoa ushahidi wa kadi wakati inaeleweka SAA 48 baada ya mechi taarifa inatakiwa iwe imeshahifadhiwa.. Na nini kiliwafanya watumie zaid ya siku mbili kujadili kadi tatu wakati ni jambo Massa matatu tu yani kuangalia taarifa za waamuzi na kutoa maamuzi.. Kwa kufatilia mtiririko Huo unaona kabisa kuna ubabaishaji katika maamuzi ya kamati ya SAA 72.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…