Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepeleka ushahidi wa kadi tatu za FakingSiyo jeuri TFF imewapa simba barua kuwa Faki hakuwa na kadi 3 za njano sasa huko FIFA wanashindaje
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kwa hali ilivyo ni ngumu sana yanga kuwaza issue ya kuuza mechi wakati kuwa na point 68 kunamweka kwenye hatihati ya kumkabidhi simba ubingwa endapo Simba atapewa point zake tatu walizopokonywa kipuuziHatimae Klabu bingwa Tanzania Bara Yanga imejivunjia heshima Kwa kuuza mechi yake Kwa klabu ya mbao
Too shallow, try to expand your threadHatimae Klabu bingwa Tanzania Bara Yanga imejivunjia heshima Kwa kuuza mechi yake Kwa klabu ya mbao
Katika hz Mara 27 mmefanya nn cha maana?Hatuna shida na ubingwa wa Africa..mara ya 27 mabingwa
Wewe mbona hata ubingwa wa ndani una kushinda? Simba nyie mnamtindio wa ubongo ...kazaneni mtoke matopeni acheni kutokwa povuBingwa Mara 27 ubingwa wa afrika hata NUSU FAINALI hakuna
Ingekuwa La Liga Simba bingwa, ila Hapa BongoWauze wakati wanajua FIFA wanakuja na point tatu za wenyewe?
Mmmh? Hii chaiHatimae Klabu bingwa Tanzania Bara Yanga imejivunjia heshima Kwa kuuza mechi yake Kwa klabu ya mbao
Ni kweli linautata kwasababu ni kipi kiliwafanya kamati ya SAA 72 kujadili rufaa ilotolewa nje ya muda? Na nini kiliwafanya wamwite refa kutoa ushahidi wa kadi wakati inaeleweka SAA 48 baada ya mechi taarifa inatakiwa iwe imeshahifadhiwa.. Na nini kiliwafanya watumie zaid ya siku mbili kujadili kadi tatu wakati ni jambo Massa matatu tu yani kuangalia taarifa za waamuzi na kutoa maamuzi.. Kwa kufatilia mtiririko Huo unaona kabisa kuna ubabaishaji katika maamuzi ya kamati ya SAA 72.Mkuu Unakumbuka sababu alizotoa katibu mkuu wa TFF Kuhusu hili jambo? nikukumbushe tu hakugusia kabisa issue ya kadi 3 badala yake alisema simba imekata rufaa nje ya muda, hawakulipa ada ya rufaa na kuna wajumbe ambao hawakustahili kuwepo kwenye ile kamati iliyo ipoka kagera points! Taarifa zisizo rasmi zinasema report ya referee inatofautiana na ya kamisaa, Tukubaliane kitu kimoja hili suala lina utata mwingi na ndio maana nikasema kulikuwa na ugumu gani kusubiri maamuzi ya FIFA kabla ya kukabidhi zawadi?