Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Nje ya hapo tutaanza kuona vituko ambavyo vitatuondoa kwenye mapumziko na maandalizi ya msim ujao
 
Kwa hiyo yanga wakifungwa na mbao, ndo tunakosa ubingwa au mpaka simba washindwe hiyo goli 12 ulosema?
 
_20170520_170356.JPG
 
Game zote siku ya kesho zitachezwa muda mmoja ili kuepuka kupanga matokeo, Tanzania U17 vs Niger U17 wakati huo huo Mali wataikaribisha Angola sasa 20.30 usiku
Shukrani mkuu kwa kuniweka sawa.!
 
SECOND HALF | Simba 2 - 1 Mwadui

19' Shiza Kichuya (Simba)
25' Ibrahim Ajib (Simba)
43' Paul Nonga (Mwadui)
 
Kwa hiyo yanga wakifungwa na mbao, ndo tunakosa ubingwa au mpaka simba washindwe hiyo goli 12 ulosema?
Yanga iwaze ushindi maswala ya kushinda kimahesabu hakuna washinde point tatu basi hawa vijana wanataka kuleta mapuuza kwenye biashara serious
 
Dak 50 Mbao 1-0 Yanga ......Mungu saidia hawa Mbao wasituharibie sherehe za ubingwa..
 
Back
Top Bottom