Wasituharibie sherehe ya Ubigwa.Yanga wajue kabisa kuwa wanapaswa kushinda hii match ni muhim sana
Shukrani mkuu kwa kuniweka sawa.!Game zote siku ya kesho zitachezwa muda mmoja ili kuepuka kupanga matokeo, Tanzania U17 vs Niger U17 wakati huo huo Mali wataikaribisha Angola sasa 20.30 usiku
Inabidi tule wali kwa furah sio kula huku umenuna tunataka ushindi hakuna lugha ingine hivi vijamaa haviwezi kushinda mara zote na wachezaji wako uwanjani wanachukulia poa mechi iwe ya kufa kuponaWasituharibie sherehe ya Ubigwa.
Ndio maana yake.....Simba kupata kombe anahitaji Magoli 12Kwa hiyo yanga wakifungwa na mbao, ndo tunakosa ubingwa au mpaka simba washindwe hiyo goli 12 ulosema?
Yanga iwaze ushindi maswala ya kushinda kimahesabu hakuna washinde point tatu basi hawa vijana wanataka kuleta mapuuza kwenye biashara seriousKwa hiyo yanga wakifungwa na mbao, ndo tunakosa ubingwa au mpaka simba washindwe hiyo goli 12 ulosema?
Analo bas kwa style hii, mbwembwe zote kwishnei chezea yanga weyeNdio maana yake.....Simba kupata kombe anahitaji Magoli 12
Hupati kitu wewe hujui point 3 zinarudi soon?Ubingwa bila kumfunga Mbao hauna raha kabisa,dah.
Nashukuru nilidhani leoNi kesho dhid ya Niger
Nashukuru nilidhani leoKesho saa 11:30
Sio muhimu kushinda sema wakishinda itaongeza heshima zaidiYanga wajue kabisa kuwa wanapaswa kushinda hii match ni muhim sana