Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Game zote siku ya kesho zitachezwa muda mmoja ili kuepuka kupanga matokeo, Tanzania U17 vs Niger U17 wakati huo huo Mali wataikaribisha Angola sasa 20.30 usiku
Kwa saa za HUKO au HUKU?
 
asee,uwanja umechafuka vurug za wachezaj uwanjan baad ya ki2 hakifahamik kimekutw katik lango la mbao fc.
 
Reactions: SDG
Kirumba naona mabishano yanaendelea pale kwa timu zote, naona wapo kufukua dawa kwenye lango la Mbao.
 
Reactions: SDG
Kumbe kuna uchawi katika lango la mbao...!!!
 
Reactions: SDG
Yanga wanafukua dawa Kirumba pale sasa tuone magoli
 
Reactions: SDG
55' Mins | Simba 2 - 1 Mwadui

19' Shiza Kichuya (Simba)
25' Ibrahim Ajib (Simba)
43' Paul Nonga (Mwadui)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…