Mechi za Yanga inabidi zionyeshwe mahospitalini, itasaidia wagonjwa kupona mapema ๐Ÿ˜Ž 5-1

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
359
Reaction score
629

Uwiiiiiiiiii ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ’šJamani hawa yanga wapo On Fire

Hongereni Yanga kwa Ushindi wa Goli 5-1.

Tunawatarajia mazuri kimataifa.

Gamondi anayo maono yenu
 
Kufunga goli tano sio tatizo katika mchezo wa mpira wa miguu.


Ni mbinu sahihi na kutumia makosa ya mpinzani wako kupata ushindi basi.


Liverpool ameshinda 7-0 dhidi ya Manchester ila haimanishi wao ni bora kuliko man-u.


Mpira ni kama kamali hivi haina uhakika sana ni mchezo ambao una badilika kila dakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ