Mechi za Yanga inabidi zionyeshwe mahospitalini, itasaidia wagonjwa kupona mapema 😎 5-1

Mechi za Yanga inabidi zionyeshwe mahospitalini, itasaidia wagonjwa kupona mapema 😎 5-1

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
359
Reaction score
629
IMG_20230826_200619.jpg

Uwiiiiiiiiii 🗣️💛💚Jamani hawa yanga wapo On Fire

Hongereni Yanga kwa Ushindi wa Goli 5-1.

Tunawatarajia mazuri kimataifa.

Gamondi anayo maono yenu
 
Kufunga goli tano sio tatizo katika mchezo wa mpira wa miguu.


Ni mbinu sahihi na kutumia makosa ya mpinzani wako kupata ushindi basi.


Liverpool ameshinda 7-0 dhidi ya Manchester ila haimanishi wao ni bora kuliko man-u.


Mpira ni kama kamali hivi haina uhakika sana ni mchezo ambao una badilika kila dakika.
 
Back
Top Bottom