Tunakujua wewe Yanga unawakoga tu SimbaTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Nimekuchapa tusi kali sana!!.Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Huna lolote mbweha wewe porojo tupu wewe ndio unaongoza kukurupukaNilikuwa mtu wa kwanza kupinga udhamini wa GSM , na niliweka uzi wa kwanza kabisa kuhusu hilo hapa jf , nilitukanwa mno ! Lakini leo udhamini wa GSM uko wapi ? sijawahi kukurupuka
Hujawahi kupiga hata danadana utajuaje mambo ya mpira pale unaona kama wanaruka ruka tuCha kufurahisha wote wanaonipinga ni kama wananishutumu kwa kutoa siri ambayo hawakupenda ifichuliwe , hawapingi sana kuhusu magoli laini
Ni lini walicheza mechi za ushindani?Ww Libeva nimeangalia mpira? Mtibwa hawajacheza mpira wa ushindani labda kwa kuwa maji hayakuwepo
Hata ile ya ngao ya hisani Yanga alinunua mechi.Mtibwa kauza mechi, tff fanyeni uchunguzi
Mpira unacheza sehemu ya wazi na kila mtu anaona. Wachezaji wa Mtibwa leo utazani walikuwa kutoka kuchomwa sindano za corona na miili yao ipo abnormalNi lini walicheza mechi za ushindani?
Sema yote mjomba wasikutishe hao mabingwa wa round ya kwanzaHoja hupingwa kwa hoja , matusi hayatasaidia kitu , zipo juhudi fulani zisizo rasmi za kupinga sisi wanasiasa kuandika kwenye majukwaa mengine , hilo halikubaliki , nipingeni kwa hoja , nilipohoji udhamini wa GSM , Kila mjinga alinishangaa , lakini mkataba ule uko wapi leo ?
Hizi kauli zenu za kila mtu ashinde zake bila kujali anashindaje ndio maana tuna mashaka na utopolo mabingwa wa round ya kwanza kila msimuUmeona ukweli kabisa magoli ya mchongo yote, haki yao if they paid for, kila mtu ashinde mechi zake
Haha bodi ya league wachunguze na umri wa onyangoNa za simba zichunguzwe,penati,kadi na magoli ya utata
Sio Hawajacheza Mpira Wa Ushindani Walizidiwa We Mzee Na Kama Ni Kweli Hawa Wanachezaga Mpira Wa Kutisha Wangekuwa Kwenye Nafasi Ambayo Wapo Kwenye Msimamo?Ww Libeva nimeangalia mpira? Mtibwa hawajacheza mpira wa ushindani labda kwa kuwa maji hayakuwepo
Mbona mkishinda sisi tuki sare hausemagi hivi? Haha umepagawa wewHizi kauli zenu za kila mtu ashinde zake bila kujali anashindaje ndio maana tuna mashaka na utopolo mabingwa wa round ya kwanza kila msimu
Achana naye huyo kolo ni mpiga kelele tuSio Hawajacheza Mpira Wa Ushindani Walizidiwa We Mzee Na Kama Ni Kweli Hawa Wanachezaga Mpira Wa Kutisha Wangekuwa Kwenye Nafasi Ambayo Wapo Kwenye Msimamo?
Wakati mwingine tumieni japo common sense kufanya hicho mnachoita eti analysis...UTOPOLO MNAJAZBA SANA.
Mtoa mada anatoa analysis ya kile alichokiona uwanjani na ameeleza vizuri tu ila nyie ndie wenye shida. Yaani leo uto umtishe mtu wa Simba,kweli? Kwanza uto ni mdudu tu kwetu kwa mabingwa mara 4 mfululizo na wawakilishi pekee CAF
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Umesahau Simba vs Geita GoldKama Marefa Wangetenda Haki Mechi Ya Simba Vs Tz Prisons, Simba Vs Mbeya Kwanza Na Yanga Vs Mbeya City Saiv Kuna Watu Wangekuwa Na Hali Mbaya Sana[emoji2217]
Magoli ya offside, kadi nyekundu 13, penati 8, jumla ya magoli yote ni 14.Na za simba zichunguzwe,penati,kadi na magoli ya utata