Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .

Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?

Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .

Naomba kuwasilisha .
Tunakujua wewe Yanga unawakoga tu Simba
 
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .

Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?

Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .

Naomba kuwasilisha .
Nimekuchapa tusi kali sana!!.
ww kwako kila kitu ni mchongo?
acha ikae hivyo
 
Nilikuwa mtu wa kwanza kupinga udhamini wa GSM , na niliweka uzi wa kwanza kabisa kuhusu hilo hapa jf , nilitukanwa mno ! Lakini leo udhamini wa GSM uko wapi ? sijawahi kukurupuka
Huna lolote mbweha wewe porojo tupu wewe ndio unaongoza kukurupuka
Ulisemaga arteta atafukuzwa yako wapi?
Na pia udhamini wa MO na umiliki wa hisa ulikuwa unapinga yako wapi?

Kujifanya unajua kumbe kinega cha mbowe.
 
Wakati Wao Wakifungwa Na Berkane Huko Morocco Wakirudi Huku Watakuta Gape La Point 11 [emoji4]
 
Hoja hupingwa kwa hoja , matusi hayatasaidia kitu , zipo juhudi fulani zisizo rasmi za kupinga sisi wanasiasa kuandika kwenye majukwaa mengine , hilo halikubaliki , nipingeni kwa hoja , nilipohoji udhamini wa GSM , Kila mjinga alinishangaa , lakini mkataba ule uko wapi leo ?
Sema yote mjomba wasikutishe hao mabingwa wa round ya kwanza
 
Umeona ukweli kabisa magoli ya mchongo yote, haki yao if they paid for, kila mtu ashinde mechi zake
Hizi kauli zenu za kila mtu ashinde zake bila kujali anashindaje ndio maana tuna mashaka na utopolo mabingwa wa round ya kwanza kila msimu
 
Hizi kauli zenu za kila mtu ashinde zake bila kujali anashindaje ndio maana tuna mashaka na utopolo mabingwa wa round ya kwanza kila msimu
Mbona mkishinda sisi tuki sare hausemagi hivi? Haha umepagawa wew
 
UTOPOLO MNAJAZBA SANA.
Mtoa mada anatoa analysis ya kile alichokiona uwanjani na ameeleza vizuri tu ila nyie ndie wenye shida. Yaani leo uto umtishe mtu wa Simba,kweli? Kwanza uto ni mdudu tu kwetu kwa mabingwa mara 4 mfululizo na wawakilishi pekee CAF
Wakati mwingine tumieni japo common sense kufanya hicho mnachoita eti analysis...

Hivi Yanga ambayo ilimtandika Kolo si ndo hii hii?

Hivi Yanga ambayo Kolo ilifanya sherehe kisa tu imetoa sare kwenye premier league si ndo hii?

Hivi Yanga ambayo imemtandika Azam isiyo na njaa kwenye Premier League si ndo hii hii?!

Sasa hivi mnatumia vigezo gani kutarajia Mtibwa iliyo hoi taabani iweze kuisumbua Yanga?

Yaani kwavile mlitandikwa na Mtibwa ndo mlitarajia wangefurukuta mbele ya Yanga?

Nawakumbusha tu kwamba, tunakutana tena kwenye nusu fainali ya Azam Federation!!
 
Mpira una sayansi ndogo tu.
Timu zinazocheza na yanga hazimuogopi.Zinafunguka kama kawaida.Hawakai nyuma ya mpira.Hivyo ndio maana wanafungwa kirahisi.Ingawa sijaona mechi ya leo.

Kama timu zinazocheza na Simba zingekuwa zinafunguka bila woga kama zinavyofanya kwa yanga,wangekuwa wanaoga magoli kwa kuchezea koki
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .

Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?

Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .

Naomba kuwasilisha .
 
Na za simba zichunguzwe,penati,kadi na magoli ya utata
Magoli ya offside, kadi nyekundu 13, penati 8, jumla ya magoli yote ni 14.

Penati ni nyingi zaidi kuliko magoli ya kawaida kwa mechi zilizochezwa na makolo afu bado wanakaza tu mafuvu kupambana na aliyewazidi ubora.

Makolo ni Makolo tu hata umpakae piko ili awe mweusi atabaki tu kuwa MBUMBUMBU [emoji23]
 
Tunawakumbusha makolo kuwa boss w3nu amejiunga tiktok kwa hiyo muungane kumtumia video za goal "jepesi" la mayele alipost🤣
 
Back
Top Bottom