Mechi Zinazoendelea Kwa Sasa.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kuna Michezo kadhaa ya Kimataifa Kirafiki inachezwa kwa sasa

England vs Spain
dk 40 England 1 Spain 0
mfungaji Adam lalana(penalt)

Italy vs Germany
half time 0-0

France vs Code i voire
half time 0-0

Enjoy it
 
Kuna Michezo kadhaa ya Kimataifa Kirafiki inachezwa kwa sasa

England vs Spain
dk 40 England 1 Spain 0
mfungaji Adam lalana(penalt)

Italy vs Germany
half time 0-0

France vs Code i voire
half time 0-0

Enjoy it

Kama hutojali Mkuu ' tukumbushe ' na ya Taifa Stars ( Tanzania ) na Mighty Warriors ( Zimbabwe ) iliyochezwa ' majuzi '. Tutashukuru!
 
Kama hutojali Mkuu ' tukumbushe ' na ya Taifa Stars ( Tanzania ) na Mighty Warriors ( Zimbabwe ) iliyochezwa ' majuzi '. Tutashukuru!
isee Zimbabwe 3 Taifa Stars 0
na 4 Lilikataliwa.

ila kocha alisema vijana wamejitaidi next time atajitaidi awafunge so tusubiri next time
 
Kufungwa hata Brazil walipigwa 7 jamani tena world cup
Na Saudia Arab akapigwa 8 bila tena world cup.
Angalia leo Brazil wako wapi usilinganishe Brazil na Taifa Stars tena uongee pole pole kabisa

Taifa stars mara ya mwisho kushinda ni lini?
 
isee Zimbabwe 3 Taifa Stars 0
na 4 Lilikataliwa.

ila kocha alisema vijana wamejitaidi next time atajitaidi awafunge so tusubiri next time

Kocha Mkwasa akisema 10 Wewe chukua nusu neno tu Mkuu.
 
Vardy!!! England 2 Spain 0
naona Mbuzi kafia kwa Muuza utumbo leo

Spain Utozi Mwingi

Kama Southgate anaweza kukabidhiwa timu ya Taifa vile

England kumfunga Spain ilikua ngumu
 
naona Mbuzi kafia kwa Muuza utumbo leo

Spain Utozi Mwingi

Kama Southgate anaweza kukabidhiwa timu ya Taifa vile

England kumfunga Spain ilikua ngumu

Mbuzi kafufuka...

Ingawa Southgate kwa kiasi amepata picha ya wachezaji gani wanafaa kwa kuangalia first half performance.

Lile goli la Vardy limenikumbusha makali yake msimu uliopita...yani ulikuwa ukizubaa tu yumo! siku hizi sijui ni uoga au kuchoka...hana daring tena!! Good goal though.

Spain ina wazee bado..nina wasiwasi na timu yao kwa miaka ya karibuni!!!
 
naona Mbuzi kafia kwa Muuza utumbo leo

Spain Utozi Mwingi

Kama Southgate anaweza kukabidhiwa timu ya Taifa vile

England kumfunga Spain ilikua ngumu
Mzee mtoto mdogo yake halali na pesa! Spain wamechomoa zote mbili
 
Mzee mtoto mdogo yake halali na pesa! Spain wamechomoa zote mbili
Daa dk ya 89 na 90+ mtu anachomoa goli zote

Kweli watoto wa Malkia sio wa kuwaombea Mkopo muda wowote wanakufunga hawatabiriki wale
 
Kufungwa hata Brazil walipigwa 7 jamani tena world cup

😀Na sisi tulipigwa 4 na mjerumani 2010, tukalipiza kwao goli 3-1...kwenye final 2014 walitupiga goli 1 kwa mbinde dakika za lala salama,tukalipiza kwao goli 4-2..hiyo final iliniumiza sana dakika za mwisho jamaa wakatupia? Siwezi sahau...ingekua final inarudiwa round ya pili i hope tungebeba....
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…