Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Michezo kadhaa ya Kimataifa Kirafiki inachezwa kwa sasa
England vs Spain
dk 40 England 1 Spain 0
mfungaji Adam lalana(penalt)
Italy vs Germany
half time 0-0
France vs Code i voire
half time 0-0
Enjoy it
isee Zimbabwe 3 Taifa Stars 0Kama hutojali Mkuu ' tukumbushe ' na ya Taifa Stars ( Tanzania ) na Mighty Warriors ( Zimbabwe ) iliyochezwa ' majuzi '. Tutashukuru!
Na Saudia Arab akapigwa 8 bila tena world cup.Kufungwa hata Brazil walipigwa 7 jamani tena world cup
isee Zimbabwe 3 Taifa Stars 0
na 4 Lilikataliwa.
ila kocha alisema vijana wamejitaidi next time atajitaidi awafunge so tusubiri next time
Vardy!!! England 2 Spain 0
naona Mbuzi kafia kwa Muuza utumbo leo
Spain Utozi Mwingi
Kama Southgate anaweza kukabidhiwa timu ya Taifa vile
England kumfunga Spain ilikua ngumu
Mzee mtoto mdogo yake halali na pesa! Spain wamechomoa zote mbilinaona Mbuzi kafia kwa Muuza utumbo leo
Spain Utozi Mwingi
Kama Southgate anaweza kukabidhiwa timu ya Taifa vile
England kumfunga Spain ilikua ngumu
Kufungwa hata Brazil walipigwa 7 jamani tena world cup