Mechi zitakazo oneshwa mubashara TBC1 katika hatua ya makundi WORLD CUP. Kama hazipo hapa usiwasumbue

Mechi zitakazo oneshwa mubashara TBC1 katika hatua ya makundi WORLD CUP. Kama hazipo hapa usiwasumbue

Tunaangalia mechi ya Senegal hapa live mubashara kwa picha angavu na bwana upete akisherehesha
 
Kumekuwa na malalamiko kuwa muda wa mechi kuna vipindi vinaendelea. Jambo la msingi ni kujua kuwa ni baadhi tu ya mechi za bure hupewa televisheni za taifa waonyeshe lakini mechi nyingi hupewa chanel za kibiashara. Wastani huwa ni mechi moja kwa siku, hizi ndo mechi za bure ambazo zitakuwa mubashara kwa picha angavu kabisa ambazo huenda zikarushwa.

Thursday, June 11

Mexico vs South Africa — 22:00(ilioneshwa)

Friday, June 12

Canada vs Bosnia — 22:00(ilioneshwa)

Saturday, June 13

Brazil vs Morocco — 01:00(ilioneshwa)


Monday, June 15

Ivory Coast vs Ecuador — 02:00(imeoneshwa)

Spain vs Cape Verde — 19:00


Tuesday, June 16

France vs Senegal — 22:00


Thursday, June 18

Ghana vs Panama — 02:00

Czechia vs South Africa — 19:00


Friday, June 19

USA vs Australia — 22:00

Saturday, June 20

Germany vs Ivory Coast — 23:00


Sunday, June 21

Uruguay vs Cape Verde — 01:00


Tuesday, June 23

Norway vs Senegal — 03:00

England vs Ghana — 23:00


Thursday, June 25

South Africa vs South Korea — 04:00

Curaçao vs Ivory Coast — 23:00


Friday, June 26

Senegal vs Iraq — 22:00


Saturday, June 27

Croatia vs Ghana — 00:00
Yaani wao wamepakua bure halafu wanapiga mkwara watu eti wameibiwa maudhui?
 
Back
Top Bottom