Kumekuwa na malalamiko kuwa muda wa mechi kuna vipindi vinaendelea. Jambo la msingi ni kujua kuwa ni baadhi tu ya mechi za bure hupewa televisheni za taifa waonyeshe lakini mechi nyingi hupewa chanel za kibiashara. Wastani huwa ni mechi moja kwa siku, hizi ndo mechi za bure ambazo zitakuwa mubashara kwa picha angavu kabisa ambazo huenda zikarushwa.
Thursday, June 11
Mexico vs South Africa β 22:00(ilioneshwa)
Friday, June 12
Canada vs Bosnia β 22:00(ilioneshwa)
Saturday, June 13
Brazil vs Morocco β 01:00(ilioneshwa)
Monday, June 15
Ivory Coast vs Ecuador β 02:00(imeoneshwa)
Spain vs Cape Verde β 19:00
Tuesday, June 16
France vs Senegal β 22:00
Thursday, June 18
Ghana vs Panama β 02:00
Czechia vs South Africa β 19:00
Friday, June 19
USA vs Australia β 22:00
Saturday, June 20
Germany vs Ivory Coast β 23:00
Sunday, June 21
Uruguay vs Cape Verde β 01:00
Tuesday, June 23
Norway vs Senegal β 03:00
England vs Ghana β 23:00
Thursday, June 25
South Africa vs South Korea β 04:00
CuraΓ§ao vs Ivory Coast β 23:00
Friday, June 26
Senegal vs Iraq β 22:00
Saturday, June 27
Croatia vs Ghana β 00:00