Medani za Kijeshi

Medani za Kijeshi

Tatizo we ushazoea ujeshi na maguvu mengi. Hao ni raia wa kawaida kama wajeshi lakini wenye mafunzo maalum ya kijasusi
 
3 stars Police officer atamsalute 3 stars TPDF
Huku mtaani NCO TPDF kumsalute tu 3 Star wa polisi anaona shida ingawa wanasalute kishingo upande
 
Endapo maofisa wa majeshi tofauti wenye cheo kinachofanana (equivalent) wakakutana, busara hutumika zaidi. Seniority itazingatia jeshi la ofisa husika. Officer anayetoka jeshi junior basi ataanza kumsalute officer anayetoka jeshi senior., kwa mpangilio wa
Jwtz
Police
TISS
Magereza
Fire
Uhamiaji
TISS hawapigi saluti
 
Back
Top Bottom