wooii.... ngachokaBashungwa for presidency 2030
Watu wanaongea tu.hawajui yaliyochini ya kapeti kisa tu kalemani kila siku kuongea ndio wanajua anafanya kaziBaba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Umeandika kwa vile humjui Kalemani. Kwa taarifa yako, kati ya mawaziri walio haribu Kalemani ana ongoza.Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
MwambieeeeeeeeeeeeUkisha maliza kuota amka bado mchana..
Endelea na kazi kwanza.
Impossible!Bashungwa for presidency 2030
Punguza jazbaKalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Hii inaonyesha kuwa ukiweka watu wanaofanana na namna Fulani ni sawasawa tu umeamua jambo likwame ama liharibikekila kitu kinafanywa kwa kodi zetu, ila ukweli makamba hamfikii kalemani hata chembe katika utendaji, kalemani ilibidi awe mbabe ili aweze kudeal na rea na tanesco vizuri, ukileta ubraza meni inakula kwako,
Nimestaafu mkuu miezi michache iliyopita. Ahueni nimestaafu baada tu ya kupanda daraja.vipi mkuu umepanda daraja au bado....
Hii nchi inaongozwa na genge la wauni wa <2015Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
[emoji23][emoji23][emoji23]maneno kuntuKapambana ujinga tu,hela tukatwe sisi kwny Luku kwa ajili ya kupeleka umeme vijijini,sifa apewe mwingine.Pumbavu.
Msimpangie Rais Cha kufanya pia kuhusu wateule uamuzi ni wake mbona jiwe hamkumpangia?Hizi teuzi mpya zilizofanywa na Hagaya (ambapo Januari naye yumo ndani) zimedhihirisha rangi yake halisi
Kuwa yeye ni Team Msoga, Uzanzibari mwingi, na pia ni Hopless
Kalemani ni waziri wa hovyo kabisa, alilindwa na mfumo wa baba yale JPM, hovyo kabisa huyoKalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Kalemani ni fisadi wa hali ya juu, napendekeza akaunti zake zikamatwe, ameiba sanaBaba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili