Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

Baba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Watu wanaongea tu.hawajui yaliyochini ya kapeti kisa tu kalemani kila siku kuongea ndio wanajua anafanya kazi
 
Mara nyingi anayeanza akifanya vizuri anayemalizia hata akiwa zoba na akamaliza mbio atapewa sifa tu huyo zoba!.
 
Hivi ni asilimia ngapi ya watanzania kwa sasa wana umeme majumbani mwao?
 
Huyo January hata wangembeba vipi urais atausikia tu.

Watanzania wanamjua Sana maana amekuwa Mbunge na waziri kwa muda mrefu hakuna Cha maana alichofanya.

Hilo jina la baba yake litambeba mpaka kwenye mgombea tu ila kuchukua nchi thubutu.
 
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Umeandika kwa vile humjui Kalemani. Kwa taarifa yako, kati ya mawaziri walio haribu Kalemani ana ongoza.

Kalemani ndie chanzo ch amafuta kupanda bei kwa maslahi yake na kikundi chake cha watu. Kalemani ndie amesababish abiashar haramu yq mafuta irudi kwa kasi. Kalemani alikuwa hafuati taratibu za tenda wala miongozo ya baraza la mawaziri.

Kelamani mzee wa deal kwa ufupi.
 
kila kitu kinafanywa kwa kodi zetu, ila ukweli makamba hamfikii kalemani hata chembe katika utendaji, kalemani ilibidi awe mbabe ili aweze kudeal na rea na tanesco vizuri, ukileta ubraza meni inakula kwako,
Hii inaonyesha kuwa ukiweka watu wanaofanana na namna Fulani ni sawasawa tu umeamua jambo likwame ama liharibike
 
vipi mkuu umepanda daraja au bado....
Nimestaafu mkuu miezi michache iliyopita. Ahueni nimestaafu baada tu ya kupanda daraja.

Muda huu ninavyo andika hapa, nipo zangu huku Milimani kwa Wasambaa nakula tu mafao yangu.
 
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Hii nchi inaongozwa na genge la wauni wa <2015
 
Hizi teuzi mpya zilizofanywa na Hagaya (ambapo Januari naye yumo ndani) zimedhihirisha rangi yake halisi

Kuwa yeye ni Team Msoga, Uzanzibari mwingi, na pia ni Hopless
Msimpangie Rais Cha kufanya pia kuhusu wateule uamuzi ni wake mbona jiwe hamkumpangia?
 
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Kalemani ni waziri wa hovyo kabisa, alilindwa na mfumo wa baba yale JPM, hovyo kabisa huyo
 
Baba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Kalemani ni fisadi wa hali ya juu, napendekeza akaunti zake zikamatwe, ameiba sana
 
Mkuu wala usipate shida. Sisi "Sukuma Gang" tushaanza kumuandaa Kalemani apeperushe bendera 2025 I'll kiendeleza yote aliyoacha JPM!
 
Back
Top Bottom