Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hayo yamesemwa na waziri wa nishati ambae pia ni mbunge wa Chato.

Mbio za Mwenge kuhitimishwa Chato​

JUMAMOSI , 15TH MEI , 2021

Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021, zenye kauli mbiu isemayo TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu, itumie kwa usahihi na uwajibikaji, zitahitimishwa Oktoba 14, 2021, wilayani Chato mkoani Geita.
mwengeeeeeee.jpg

Mwenge wa Uhuru
Taarifa hiyo imetolewa Visiwani Zanzibar ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, Mei 17 mwaka huu anatarajiwa kuzindua mbio hizo kitaifa katika uwanja wa Mwehe, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja.

Ambapo baada ya uzinduzi huo Mwenge wa Uhuru utaanza mbio zake chini ya vijana shupavu sita kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ), kwa siku 150.
IMG_20210516_145143_7.jpg
 
Kwani budget ya shughuli za mwenge imekaaje?

Kwa anayefahamu atililike basi, ili tuanzie hapo!
 
Back
Top Bottom