Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

hadi kufikia mwaka 2022 ule uwanja wa ndege wa chato utakuwa na nyasi nzuri sana kwa mazoezi ya team za michezo mbalimali zilizopo katika wilaya hiyo na vitongoji vyake . Ahsanteni kwa kunielewa 😂
 
Kutoka kwenye kujisifia kuwa na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, kuwa na Uwanja wa Mpira wa Kimataifa, kuwa na Shamba la Miti na Mipango ya kuwa Mkoa mpaka kujisifia Kuwa Mwenge wa Uhuru mbio zake zitaishia Chatto[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Una umuhimu gani? mbona mwaka jana hukukimbizwa na nchi ilienda? fungieni huko
Mwenge haukuangaza na kuchoma mwaka jana unajua kilichompata jiwe?
Mpaka leo ni hadithi amini usiamini hatakumbukwa kwa kosa hili.
Mwenge ndo zindiko la nchini Mara.km hujui!!
Dharau mwenge ufe kirahisi!!
 
Una umuhimu gani? mbona mwaka jana hukukimbizwa na nchi ilienda? fungieni huko
Mkuu kwani hukuona kwa mara ya kwanza Rais aliyeko madarakani akafariki dunia?.

Inawezekana hili dude ni ishara ya maagano na shetani lililofanywa na wazee wetu miaka nyuma huko.
 
Hayo yamesemwa na waziri wa nishati ambae pia ni mbunge wa Chato.

Mbio za Mwenge kuhitimishwa Chato​

JUMAMOSI , 15TH MEI , 2021

Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021, zenye kauli mbiu isemayo TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu, itumie kwa usahihi na uwajibikaji, zitahitimishwa Oktoba 14, 2021, wilayani Chato mkoani Geita.
mwengeeeeeee.jpg


Taarifa hiyo imetolewa Visiwani Zanzibar ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, Mei 17 mwaka huu anatarajiwa kuzindua mbio hizo kitaifa katika uwanja wa Mwehe, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja.

Ambapo baada ya uzinduzi huo Mwenge wa Uhuru utaanza mbio zake chini ya vijana shupavu sita kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ), kwa siku 150.
View attachment 1787148
Waksafishe na lile kaburi la meko.

Pale inabidi kuwe kweupe ili kigogo akija kuanza mzigo tuone vizuri
Majani mengi sana pale safisheni kaburi l meko
 
Hivi mwenge huu ni wa uhuru wa nchi ipi kati ya Mbili za Jamuhuri ya Muungano?
 
Back
Top Bottom