Meddie Kagere ajiunga na Singida Big Stars.

Akiongea na Sport Arena msemaji wa Singida Big Stars kathibitisha hilo.

Wakuu mnamwonaje Kagere ndani ya Singida , ataleta usumbufu kwenye mfungaji bora?
Kama kweli wamelamba dume
 
Hakuna mtu arajutia fursa kama mpole,alitakiwa na Simba,Yanga na Azam akachomoa,guarantee ya kuwa mfingaji bora kwa mara nyingine akiwa geita hold haiopo,magoli yenyewe aliyokuwa akifunga ya ajabu ajabu tu na asipokuwa mfungaji bora tena ajue soko lake limeisha atajikuta yuko namungo,kwa umri wake alitakiwa achangamkie fursa,raha ya supu iliwe ikiwa ya moto
 
Well said mkuu
 
Angeenda zake kujipigia hela kama mwenzake ngushi japo hachezi
 
Akiongea na Sport Arena msemaji wa Singida Big Stars kathibitisha hilo.

Wakuu mnamwonaje Kagere ndani ya Singida , ataleta usumbufu kwenye mfungaji bora?
Usajili mzuri Sana kwa Singida..👊👊
 
Kama kweli wamelamba dume
Hata mimi naona wamelamba dume ,Simba tunamhitaji Kagere kuliko Mugalu mtafuna bigiji anacheka akikosa goli halafu injury mda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…