Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki kabisa kusikia HabarI za hao watu kutokana na walichowafanyiambona umemsahau George Mpole na Sopu
Dah! Hata ka dog unakulaga mkuu?Na hasa kama supu yenyewe ni ya Mbwa
Haiwezekani tena ndio imetoka hiyoSidhani kama hapo geita atafikisha goli kama za msimu uliopita
Aliogopa bench, nadhani hakuwa na uhakika na ubora wake ikifika suala la competition ya nambaHakuna mtu arajutia fursa kama mpole,alitakiwa na Simba,Yanga na Azam akachomoa,guarantee ya kuwa mfingaji bora kwa mara nyingine akiwa geita hold haiopo,magoli yenyewe aliyokuwa akifunga ya ajabu ajabu tu na asipokuwa mfungaji bora tena ajue soko lake limeisha atajikuta yuko namungo,kwa umri wake alitakiwa achangamkie fursa,raha ya supu iliwe ikiwa ya moto
KAGERE KASHAZEEKA ANAENDA KUSTAAFIA PALEAkiongea na Sport Arena msemaji wa Singida Big Stars kathibitisha hilo.
Wakuu mnamwonaje Kagere ndani ya Singida , ataleta usumbufu kwenye mfungaji bora?
Wakati record ya tambwe aliyeua nan? Km sio Kagere??Kagere hamwezi Amis Tambwe