Meddie Kagere ajiunga na Singida Big Stars.

Singida wakimpa nafasi MK14 ninahakika atafanya maajabu.
 
Kagere ni mzuri kuliko hata Makambo,akiaminika huyu mwamba atasumbua sana hasa kwa uzoefu alionao kwa ligi yetu
 
Aliogopa bench, nadhani hakuwa na uhakika na ubora wake ikifika suala la competition ya namba
 
Akiongea na Sport Arena msemaji wa Singida Big Stars kathibitisha hilo.

Wakuu mnamwonaje Kagere ndani ya Singida , ataleta usumbufu kwenye mfungaji bora?
KAGERE KASHAZEEKA ANAENDA KUSTAAFIA PALE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…