Meddie Kagere asema haondoki bongo, atacheza hata championship

Kweli bongo tamu,machozi yamemtoka akipewa mkono wa kwa heri na Simba ila amesema haondoki bongo atapambana apate timu hata kama ni championship league
Hii taarifa sio ya kweli
 
Kagere akienda Yanga hata atokee benchi kwa nafasi wanazotengeneza Yanga za ufungaji kwa timu pinzani, Kagere hawezi kosa magoli, Kagere huwezi mfananisha na Ushindi, Ushindi wa Yanga ni mbovu kuliko Kagere.
 
Ushindi hamfikii kagere uko sahihi
 
Kuna kanjubahi mmoja tuko naye machimboni Kahama wamekuja mpaka familia yake kumfuata kawakatalia katakata kurudi Mumbai, kasema duniani hamna nchi tamu kama Tz, chukulia huyo anaishi pori na intruders, ndo akubari kagere aliyezoea starehe za Dar?
 
Uko poli gan boss mi nipo mwine hapa nimetoka kutoa mganyalo wa kesho
 
Back
Top Bottom