TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Salaam

Kwa majonzi makubwa, nimesikitika kupokea kifo cha Mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya Ngara Oil.

Ameugua kwa Muda mfupi, leo kakodi ndege kwenda Dar kwa Matibabu zaidi, kifo kikamkuta huko.

Mbele yetu nyuma yake.

Bob Marley neno la Mwisho alomwachia mwanaye ni kwamba hela haiwezi kununua Uhai. Money can not buy a life.

Pumzika kwa amani Kamanda.

Vifo vinagusa sana jamii yetu. Omba sana usipate msiba kwako.

IMG-20210204-WA0083.jpg
 
Tatizo mnalazimisha kila kifo kiwe cha corona,mnaumiza ndugu,jamaa na marafiki.
Matangazo ya vifo ni biashara nzuri Sana TBC. Wao ndio tv pekee inakula pesa ya walio peponi
 
Back
Top Bottom