Sasa unataka raisi afanye nini ndugu yangu au hujui mwanadamu lazima siku moja urudi kwenye udongo ulikotoka na hakuna njia nyengine tofauti na kufa,tusi-panic kuna vitu lazima vitokee ili ulimwengu uende sawasawa.
Nakuhakikishia kama leo tu ungepata takwimu za waliokufa kwa ajali usingehangaika na hawa walioitwa kwa njia za asili,sisi kuna vitu vinatuuwa kama malaria,ajali Watanzania wengi tupo frustrated hela hatuna maisha mabovu hivi ndo vinapaswa vituweke busy tusijifananishe na watu wengine.