Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Soma comment yangu vizuri, Kisha jiulize umeandika mashibhobho gani? Kati ya Corona na biashara ya matangazo ya vifo TBC kipi kilianza?Tatizo mnalazimisha kila kifo kiwe cha corona,mnaumiza ndugu,jamaa na marafiki.
Lakini mkuu kwenye huu uzi hakuna mahali imetajwa corona, huyu mleta taarifa nadhani kaleta huu uzi huenda mwendazake ni mtu mashuhuri ili umma ufahamuTatizo mnalazimisha kila kifo kiwe cha corona,mnaumiza ndugu,jamaa na marafiki.
Soma comment yangu vizuri, Kisha jiulize umeandika mashibhobho gani? Kati ya Corona na biashara ya matangazo ya vifo TBC kipi kilianza?
Lakini mkuu kwenye huu uzi hakuna mahali imetajwa corona, huyu mleta taarifa nadhani kaleta huu uzi huenda mwendazake ni mtu mashuhuri ili umma ufahamu
Mh.Rais amekataza lini watanzania kuchukua tahadhari unataka rais akuingize kwenye chandarua,rais akuvalishe condom mwishowe utataka rais akuvushe hata barabaraApumzike kwa amani.
Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.
Kwanini unatufanyia hivi kweri?
Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
Apumzike kwa amani.
Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.
Kwanini unatufanyia hivi kweri?
Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
SASA unasahau Rais ni Binadamu kama wewe nae anapumua kwa kudra za Mungu...Hapa ni kila mtu ajihami kivyake..Usitegemee Mwanadamu Mwenzio akusaidie.Apumzike kwa amani.
Ila kwa vifo hivi Mh. Rais kwa kujua au kutojua kwako unatukwaza sana mheshimiwa.
Kwanini unatufanyia hivi kweri?
Hadi afe nani? Au hadi tufe wangapi?
Sasa unataka raisi afanye nini ndugu yangu au hujui mwanadamu lazima siku moja urudi kwenye udongo ulikotoka na hakuna njia nyengine tofauti na kufa,tusi-panic kuna vitu lazima vitokee ili ulimwengu uende sawasawa.
Nakuhakikishia kama leo tu ungepata takwimu za waliokufa kwa ajali usingehangaika na hawa walioitwa kwa njia za asili,sisi kuna vitu vinatuuwa kama malaria,ajali Watanzania wengi tupo frustrated hela hatuna maisha mabovu hivi ndo vinapaswa vituweke busy tusijifananishe na watu wengine.
Hahahahaha .....usipac sana! Sasa kama mtu ana haki ya kutoa maoni kwanini mnataka kukataza watu kutoa taarifa ya vifo? Huo ni Uhuru wao pia. Wachenj.
SASA unasahau Rais ni Binadamu kama wewe nae anapumua kwa kudra za Mungu...Hapa ni kila mtu ajihami kivyake..Usitegemee Mwanadamu Mwenzio akusaidie.
Basi yaishe mkuu, samahani kama nimekukwazaSoma comment namba tano halafu uje uandike pumba tena. Acheni kufurahia vifo vya wenzenu kisingizio wendazake ni watu mashuhuri
It was simple! kwamba tusifokeane bali tuvumiliane! That's it.Uliepanic ni wewe.Na wewe kwann unataka kukataza tusiandike tutakayo?
It was simple! kwamba tusifokeane bali tuvumiliane! That's it.
Mh.Rais amekataza lini watanzania kuchukua tahadhari unataka rais akuingize kwenye chandarua,rais akuvalishe condom mwishowe utataka rais akuvushe hata barabara
Si ulale tu banaSoma comment namba tano halafu uje uandike pumba tena. Acheni kufurahia vifo vya wenzenu kisingizio wendazake ni watu mashuhuri
Thanks so much mwayaR I p
Wanadhani wanaikomoa serikali kumbe ni upuuzi wao tuMnapenda sana hizi taarifa za misiba sijui mnafurahia ama? So boring
Mnaumiza ndugu jamaa na marafiki kwa ushabiki wenu wa kijinga.
Acheni kufurahia vifo vya wenzenu