GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama media yenyewe inajikomba ili iteuliwe unadhani kuna kazi kweli hapo?Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
Media za Tanzania zinafurahia kuwa sehemu ya muhimili wa nchi kama wanavyojipambanua, hakuna asiyeupenda ukuu wa wilaya.Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
Pale wasafi wasoma magazeti wanaweza uchawa. Nizaidi ya wasemaji wa chama. Ni fulu mbwembweMedia za Tanzania zinafurahia kuwa sehemu ya muhimili wa nchi kama wanavyojipambanua, hakuna asiyeupenda ukuu wa wilaya.