GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 19, 2024 #1 Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,000 Reaction score 5,606 Jun 19, 2024 #2 GENTAMYCINE said: Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile. Click to expand... sasa kama media yenyewe inajikomba ili iteuliwe unadhani kuna kazi kweli hapo?
GENTAMYCINE said: Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile. Click to expand... sasa kama media yenyewe inajikomba ili iteuliwe unadhani kuna kazi kweli hapo?
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jun 19, 2024 #3 GENTAMYCINE said: Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile. Click to expand... Media za Tanzania zinafurahia kuwa sehemu ya muhimili wa nchi kama wanavyojipambanua, hakuna asiyeupenda ukuu wa wilaya.
GENTAMYCINE said: Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile. Click to expand... Media za Tanzania zinafurahia kuwa sehemu ya muhimili wa nchi kama wanavyojipambanua, hakuna asiyeupenda ukuu wa wilaya.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jun 19, 2024 #4 Halafu waache kuitajataja JF.
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Jun 19, 2024 #5 Media pekee nayoweza kuiamin mimi ni Kinywa cha Tundu Lisu tu. Nimeamua iwe hivyo maana zilizobaki zote zina bei zinanunulika.
Media pekee nayoweza kuiamin mimi ni Kinywa cha Tundu Lisu tu. Nimeamua iwe hivyo maana zilizobaki zote zina bei zinanunulika.
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,842 Reaction score 2,410 Jun 19, 2024 #6 Hismastersvoice said: Media za Tanzania zinafurahia kuwa sehemu ya muhimili wa nchi kama wanavyojipambanua, hakuna asiyeupenda ukuu wa wilaya. Click to expand... Pale wasafi wasoma magazeti wanaweza uchawa. Nizaidi ya wasemaji wa chama. Ni fulu mbwembwe
Hismastersvoice said: Media za Tanzania zinafurahia kuwa sehemu ya muhimili wa nchi kama wanavyojipambanua, hakuna asiyeupenda ukuu wa wilaya. Click to expand... Pale wasafi wasoma magazeti wanaweza uchawa. Nizaidi ya wasemaji wa chama. Ni fulu mbwembwe