Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Media zetu zinafanya very poor PR hasa kwa hawa wagombea au watu wenye vyeo uchwara. This is sad kwa sababu sasa huyu ni nani tena?
Ana umuhimu gani hasa na tena cheo chenyewe ni huko Indonesia I believe wanaweza kufanya better naamini kulikuwa kuna mambo mengine ya muhimu ya kuwapa wananchi huyu kapelekwa kisa baba ake sijui ni Mbunge wa wapi wapi huko na yeye pia hatumjui 🤣🤣
=============
Kamati ya uchaguzi tawi la Chama Cha Mapinduzi CCM nchini Indonesia imetangaza Ndg. Abdulkarimu Bashiru Yanda Abdulkarimu Yanda kuwa Katibu wa Tawi la CCM nchini Indonesia kwa mwaka 2025/2026. Uchaguzi huo umefanyika Julai 21, 2025 huku matokeo yakitangazwa Julai 23, 2025 na umehusisha wanachama wa chama hicho wanaoishi nchini Indonesia (Diaspora).