Media kipindi hiki wanapost tu kila kitu, wanaendekeza hela kwanza. Wabadilike

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Media zetu zinafanya very poor PR hasa kwa hawa wagombea au watu wenye vyeo uchwara. This is sad kwa sababu sasa huyu ni nani tena?
Ana umuhimu gani hasa na tena cheo chenyewe ni huko Indonesia I believe wanaweza kufanya better naamini kulikuwa kuna mambo mengine ya muhimu ya kuwapa wananchi huyu kapelekwa kisa baba ake sijui ni Mbunge wa wapi wapi huko na yeye pia hatumjui 🀣🀣
=============
​

Kamati ya uchaguzi tawi la Chama Cha Mapinduzi CCM nchini Indonesia imetangaza Ndg. Abdulkarimu Bashiru Yanda Abdulkarimu Yanda kuwa Katibu wa Tawi la CCM nchini Indonesia kwa mwaka 2025/2026. Uchaguzi huo umefanyika Julai 21, 2025 huku matokeo yakitangazwa Julai 23, 2025 na umehusisha wanachama wa chama hicho wanaoishi nchini Indonesia (Diaspora).
 
Wewe mwenyewe Tyr ushajipa promo uku mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ongeraa lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…