Media personnel anawezaje kuandika maneno kama haya mtandaoni na akabaki salama?

Media personnel anawezaje kuandika maneno kama haya mtandaoni na akabaki salama?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Unawezaje tweza,dhalili,kashifu,tukana na kuuchafua UTU wa binadamu mwenzako kiasi hiki?

Kwani huko kwenye media hakuna 'norms', 'rules of conduct'. Au shule ndogo , au mtu hajielewi tu. Au labda mtu anakuwa amevimba kichwa na kusahau kabisa kwamba yeye pia si kitu si chochote.
Huwezi andika maneno haya aisee, haijalishi uliumia sana au ulikasirika sana. Haiwezekani.

Screenshot_20231105-202703_1.jpg

Kwanini tunajisahau aisee. Alafu yupo kazini huyu mtu?
 
Sina hakika kama hiyo ni account yake ila alichokiandika hapo mbona hakina shida, sema ukipitia account yake kule Instagram huwa anaandika mambo ya ovyo sana ambayo hayaendani kabisa na taaluma yake ya uhandishi wa habari
 
OSCAR OSCAR HATUMII HIYO FB ACCOUNT MZEE
 
Back
Top Bottom