Sina hakika kama hiyo ni account yake ila alichokiandika hapo mbona hakina shida, sema ukipitia account yake kule Instagram huwa anaandika mambo ya ovyo sana ambayo hayaendani kabisa na taaluma yake ya uhandishi wa habari
OSCAR OSCAR HATUMII HIYO FB ACCOUNT MZEE
Akili zimerudi [emoji2772][emoji2772]Baada ya simba kufungwa hizi siku mbili jf members wamekuwa wakiandika nyuzi zenye maana sijajua ni kwanini
Ondoa neno "kama" kwenye maelezo yako.Huyo Oscar Oscar ni wale ambao ni kama wavuta bangi na mateja wa mpira, best ni kumignore!