Media Stations kuvunjiana vipindi kwa kuibiana watangazaji wakuu, hii imekaaje!

Media Stations kuvunjiana vipindi kwa kuibiana watangazaji wakuu, hii imekaaje!

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kwangu naona imekaa poa. Ina faida kwa watangazaji wenyewe ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuwa na maslahi duni kwenye fani hiyo.

Baada ya Efm kuwavunjia Wasafi Tv & Fm kipindi cha Sunday Worship kwa kuwachukua Lilian Mwasha & Masanja, sasa Wasafi nao wamefanya REVENGE kwa kuwachukua watangazaji nyota wa kipindi cha Joto la Asubuhi, Maulid Kitenge & Gerald Hando.

Ngoja tusubiri Efm watakuja na "CounterAttack" ipi.

20230419_101630.jpg


efmtanzania-20230419-0001.jpg


efmtanzania-20230419-0002.jpg


tvetanzania-20230419-0001.jpg
 
Ila kitenge anaandika rekodi then anaivunja mwenyewe, sidhani kama kuna mtangazaji amewahi.

Yaani utumikie media 2 kwa nyakati mbili tofauti!
Wasafi over 1.5
Efm over 1.5
 
Kitenge amezid aiseee Ila hivo vipindi vyao
Vyote wasaf na efm hata waungane nadhan watabak kua chin ya sports extra
Hakuna wakupindua hawa jamaa
 
Ushamba tu wangeteneza watangazaji wengine sio kiwategemea haohao tu! Mbona vipaji bado vipo tu
 
Hivi Lilian Mwasha alipataga ajali ya taya???
Alizaliwa na tatizo alipofanyiwa upasuaji ndio zilitokea hizo changamoto, unaweza kumsikiliza mwenyewe dakikaza mwanzo kabisa katika hii interview 👇

 
Back
Top Bottom