Hata wasafi kwani umesahau kuwa kitenge alienda afu akasepa Tena kurud efmInasemekana Majay shida kubwa ni ubahili...
Hii itakuwa poa sanaKama vp watangaze dirisha la usajili kwa watangazaji...
🤣🤣🤣Kama vp watangaze dirisha la usajili kwa watangazaji...
That is normal bro...Maisha hayattabiriki kabisa
Watu wazima professionals wanasherehekea kuajiriwa na mdogo wao aliefeli form four kutoka Tandale....
Life is really unpredictable
Alizaliwa na tatizo alipofanyiwa upasuaji ndio zilitokea hizo changamoto, unaweza kumsikiliza mwenyewe dakikaza mwanzo kabisa katika hii interview 👇Hivi Lilian Mwasha alipataga ajali ya taya???