ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hapa ndio penyewe, husikubali unyongeKwangu naona imekaa poa. Ina faida kwa watangazaji wenyewe ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuwa na maslahi duni kwenye fani hiyo.
Baada ya Efm kuwavunjia Wasafi Tv & Fm kipindi cha Sunday Worship kwa kuwachukua Lilian Mwasha & Masanja, sasa Wasafi nao wamefanya REVENGE kwa kuwachukua watangazaji nyota wa kipindi cha Joto la Asubuhi, Maulid Kitenge & Gerald Hando.
Ngoja tusubiri Efm watakuja na "CounterAttack" ipi.
View attachment 2592847
View attachment 2592849
View attachment 2592850
View attachment 2592851
Duh... mbona unaongelea vipindi vyenye maudhui tofauti.. ungesema Power Break fast.Kitenge amezid aiseee Ila hivo vipindi vyao
Vyote wasaf na efm hata waungane nadhan watabak kua chin ya sports extra
Hakuna wakupindua hawa jamaa
Mm nimesema Kwa vipindi vya michezoDuh... mbona unaongelea vipindi vyenye maudhui tofauti.. ungesema Power Break fast.
Watu wanatafuta profit mkuu, na sio kuangaika na mengineUshamba tu wangeteneza watangazaji wengine sio kiwategemea haohao tu! Mbona vipaji bado vipo tu
Hapo mi naikubali sports arena ya wasafi, hawa jamaa hawana story binafsi nyingi kama hao wengine. Sports hq ndo bure kabisa full story zao.Mm nimesema Kwa vipindi vya michezo
Sports arena, sports HQ, sports extra
Lakin hata hapa kwenye good morning,joto la asubuh, power break fast
Bado mawingu anawapiga tatu bila nje ndan
Hatari sanaChumvi vs Ndimu vs Mende...
Maisha hayattabiriki kabisa
Watu wazima professionals wanasherehekea kuajiriwa na mdogo wao aliefeli form four kutoka Tandale....
Life is really unpredictable
Machaguzi yao ni machache sana ni bora kuzalisha wengineWatu wanatafuta profit mkuu, na sio kuangaika na mengine
Mkuu maisha tukisema tuyachukulie kwa staili hiyo,tutaishia kuumia tu bila kuyaenjoy hata kidogo.Tuwaache wakae wanapoona wanastaili haijalishi iwe kwa form four aliefeli toka Tandale au mwenye phd wa osterbay.Maisha hayattabiriki kabisa
Watu wazima professionals wanasherehekea kuajiriwa na mdogo wao aliefeli form four kutoka Tandale....
Life is really unpredictable
Hawakuwachukua hao tu. Listi ni hiiÑi sawa tu na kwenye soka kunyanga'ana wachezaji. Tusijisahaulishe Azam media ilivyoibomoa Star TV kwa kuwachukua Ahmed Ally, Inona na Baruani