Media tour ya Mbosso sijaielewa kabisaa

Watanzania wengi mna asili ya uchawi.

Kwanini mnaamini kumshusha Aslay ndiyo kutampandisha Mbosso??
 


Ndio, Ruge ndio alikuwa anamuandikia nyimbo na Shigongo anatengeneza beat hahaha. Hii tabia ya wabongo kusubiri uwe na mafanikio ili wajiaminishe wamekusaidia tumeishaizoea, maana hata waliokutuma ukawawashie sigara na wao wanajisifia wamekulea .
 
Clouds mwisho wao ni WCB Radio na Tv apo ndio clouds wanapotea jumla
Mkuu[emoji28][emoji28]ukiongea hivyo uitafakari nguvu ya clouds. pia wale wanazi wa KING unafikiri watasikiriza.....

Mfano hapa Upande ule wa pili wa King wanaunga mkono upande wa Clouds
 
Ni kama vile umepanic,hujawahi kuishi mkoani wewe,kilosa na anaipata clouds?
 
Uku umsikiia kwny shoo ya kimataifa the playlist inayohostiwa na mtangazaji wa kimataifa the MVP Lil Ommy
 
Ruge kwanini hizo show hakuwaandalia watu wake wakina Barnaba, Amin, Ditto? Jiulize kidogo basi....
Au kwann asije kuwafanyia wasanii wetu wadogo yani wanaochipukia mpk amfuate jay dee na wengine wengi aliyogombana nao shida ruge anatafutia kazi wasanii shida inakuja pale kwenye kitu cha wachaga(PESA) mtu anapiga kazi kama msukuma analipwa hela ya mzaramoo
 
Hawawezi kumfunika Aslay...labda wanafanya kivyao vyao tu.
 
Mi naona nguvu kubwa inatumika kumzika Aslay,
 
Hawawez mshusha aslay kwa upande wangu maana yule dogo anajua kuimba then kashapata mkono wa ruge basi tena
 
WCB ni label. Ruge hana label.
 
Mbona Abood ni radio kubwa tu huko kwengine ni bora watu waache kupategemea sana ili kubalance mzani na kuweka game sawa
 
Hakuna haja ya media mbona interview zinawekwa youtube viewers zinafika hadi 4millions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…