Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruge na shigongo ndio watu waliomfanya Diamond awe alipo sasa kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki hilo utakuwa unalipata vema ruge ndiyo alikuwa anamiandalia Diamond vitu vya tofauti kama show ya Diamond forever, connection za kuimba BBA , kipindi kile tale alikuwa meneja kivuli mtumikakati alikuwa ni ruge. Upande wa ahigongo kumbuka alivyokuwa anaandaa show dar live huku akizipa promo mwezi mzima na kumpa jamaa offer mara kuingia uwanjan na helcopter mara lift ukumbini
Sema nini dogo baada ya kurubuniwa na mako ndipo shida ilipoanza
Na nani?Clouds wasafi wameambiwa wasitie mguu
Mkuu[emoji28][emoji28]ukiongea hivyo uitafakari nguvu ya clouds. pia wale wanazi wa KING unafikiri watasikiriza.....Clouds mwisho wao ni WCB Radio na Tv apo ndio clouds wanapotea jumla
Ni kama vile umepanic,hujawahi kuishi mkoani wewe,kilosa na anaipata clouds?Jamaa anafanya tour kwenye redio zisizo na nguvu kabisa tena vya mikoani kabla hata za Dar esa salaaam hajazimaliza mara abood fm rasi fm maisha fm tatizo ni nini hivo ivi redio havina impact kabisa kwenye industry mimi nilitegemea angeaza na clouds, efm rfa kissfm ea radio
Kwa style hii jamaa naona zile ndoto za kumfunika aslay zinafifia
Uku umsikiia kwny shoo ya kimataifa the playlist inayohostiwa na mtangazaji wa kimataifa the MVP Lil OmmyJamaa anafanya tour kwenye redio zisizo na nguvu kabisa tena vya mikoani kabla hata za Dar esa salaaam hajazimaliza mara abood fm rasi fm maisha fm tatizo ni nini hivo ivi redio havina impact kabisa kwenye industry mimi nilitegemea angeaza na clouds, efm rfa kissfm ea radio
Kwa style hii jamaa naona zile ndoto za kumfunika aslay zinafifia
Au kwann asije kuwafanyia wasanii wetu wadogo yani wanaochipukia mpk amfuate jay dee na wengine wengi aliyogombana nao shida ruge anatafutia kazi wasanii shida inakuja pale kwenye kitu cha wachaga(PESA) mtu anapiga kazi kama msukuma analipwa hela ya mzaramooRuge kwanini hizo show hakuwaandalia watu wake wakina Barnaba, Amin, Ditto? Jiulize kidogo basi....
Sindio hapo!kwani yeye mboso alikuambia anataka kumfunika Asaly
Yaani kumtangaza maromboso ni kumzima aslay....daah bado safari ni ndefuMi naona nguvu kubwa inatumika kumzika Aslay,
Clouds mwisho wao ni WCB Radio na Tv apo ndio clouds wanapotea jumla
Hawawez mshusha aslay kwa upande wangu maana yule dogo anajua kuimba then kashapata mkono wa ruge basi tenaJamaa anafanya tour kwenye redio zisizo na nguvu kabisa tena vya mikoani kabla hata za Dar esa salaaam hajazimaliza mara abood fm rasi fm maisha fm tatizo ni nini hivo ivi redio havina impact kabisa kwenye industry mimi nilitegemea angeaza na clouds, efm rfa kissfm ea radio
Kwa style hii jamaa naona zile ndoto za kumfunika aslay zinafifia