Ruge na shigongo ndio watu waliomfanya Diamond awe alipo sasa kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki hilo utakuwa unalipata vema ruge ndiyo alikuwa anamiandalia Diamond vitu vya tofauti kama show ya Diamond forever, connection za kuimba BBA , kipindi kile tale alikuwa meneja kivuli mtumikakati alikuwa ni ruge. Upande wa ahigongo kumbuka alivyokuwa anaandaa show dar live huku akizipa promo mwezi mzima na kumpa jamaa offer mara kuingia uwanjan na helcopter mara lift ukumbini
Sema nini dogo baada ya kurubuniwa na mako ndipo shida ilipoanza