sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
mbosso ni african voice anakalisha mandez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruge anamtumiaHawawez mshusha aslay kwa upande wangu maana yule dogo anajua kuimba then kashapata mkono wa ruge basi tena
Yaas anamtumia vilivoRuge anamtumia
Mbona interview za wcb zinazofikisha milionn zaidi ya hizo zipo kibao tu vichannel vingi vya youtube vinategemea kiki za wcb ndo wapate cha kuandikaHebu weka link ya iyo interview yenye viewers milion 4 maana naona unabwabwaja
hivi kati ya msanii na manager nani ni mwajiriwa na nani anatakiwa amlipe mwenzake?Ruge na shigongo ndio watu waliomfanya Diamond awe alipo sasa kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki hilo utakuwa unalipata vema ruge ndiyo alikuwa anamiandalia Diamond vitu vya tofauti kama show ya Diamond forever, connection za kuimba BBA , kipindi kile tale alikuwa meneja kivuli mtumikakati alikuwa ni ruge. Upande wa ahigongo kumbuka alivyokuwa anaandaa show dar live huku akizipa promo mwezi mzima na kumpa jamaa offer mara kuingia uwanjan na helcopter mara lift ukumbini
Sema nini dogo baada ya kurubuniwa na mako ndipo shida ilipoanza