Media za Tanzania hazina uwezo wa kujitengenezea vipaji ?

Media za Tanzania hazina uwezo wa kujitengenezea vipaji ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
IMG_20200703_125837.jpg


Imebidi niulize , maana huko waendako wanaelekea kulogana , B Dozen kang'olewa Clouds na sasa Musa Husein naye yuko mbioni .

Hivi haiwezekani media hizi zikafanya kazi na watangazaji wapya kabisa na zikatoboa ? hii tabia ya kupora watangazaji kwa kuwaongeza dau imetokea wapi ?
 
Ili uweze ku-compete inabidi uwe na ready made then u-groom talents zako. Ukitaka kutengeneza mwenyewe at a start, itakuwa ngumu kupenya kwenye soko.
 
Zina uwezo mkubwa sanaa pengine wewe sio mpenzi wa kusikiliza Radio.
.
IPP lots of presenters wake wanatoka Radio za mikoani na wengine direct from colleges.
CMG wametoa presenters wengi sanaa nikianza kutaja nitachoka, Sahara ndio siwezi hata kuanza maana nitasinzia.
kwanini wanaibiana ?
 
awaibiani wanachofanya ni ku top up maslai ya mtumish au mtangazaji we ukiwekewa mlion 2 juu ya iyo salary unayopata utaendelea kuepo apo ulipo au utamove kufata maslai? Swag cant pay the bills
 
Back
Top Bottom