Media za Tanzania hazina uwezo wa kujitengenezea vipaji ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Imebidi niulize , maana huko waendako wanaelekea kulogana , B Dozen kang'olewa Clouds na sasa Musa Husein naye yuko mbioni .

Hivi haiwezekani media hizi zikafanya kazi na watangazaji wapya kabisa na zikatoboa ? hii tabia ya kupora watangazaji kwa kuwaongeza dau imetokea wapi ?
 
Ili uweze ku-compete inabidi uwe na ready made then u-groom talents zako. Ukitaka kutengeneza mwenyewe at a start, itakuwa ngumu kupenya kwenye soko.
 
kwanini wanaibiana ?
 
awaibiani wanachofanya ni ku top up maslai ya mtumish au mtangazaji we ukiwekewa mlion 2 juu ya iyo salary unayopata utaendelea kuepo apo ulipo au utamove kufata maslai? Swag cant pay the bills
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…