PostGE2025 Media za Tanzania mlipewa hongo mkawapuuza wananchi?

PostGE2025 Media za Tanzania mlipewa hongo mkawapuuza wananchi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Media za Tanzania hawakutimiza wajibu wao kuripoti matukio yanayohusiana na uchaguzi na Vurugu zacha

  • Waliripoti matukio yanayohusiana na uchaguzi na Vurugu

    Votes: 0 0.0%
  • Hawakuripoti vurugu wala vifo vya waandamanaji

    Votes: 1 50.0%
  • Walizibwa midomo hivyo wakakosa namna ya kuripoti

    Votes: 1 50.0%

  • Total voters
    2
Wanahabari wenyewe ni akina Pasiko Mayala na Balile unategemea nini? Yapo yanachambua mpira huko 🚮🚮🚮

20251111_125857.jpg
 
AZAM media ni wahaini namba moja wameondoa channel za kenya na al Jazeera na sasa ukinunua kifurushi hawaleti huduma na wameblock customer care
 
Muda huu CLAUDS 360 wanaendelea na spinning zao wamemleta kada wa CCM anakunyakunya muda huu hewani
 
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi?

Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo kimyaa!. Hakika hii dhambi mtailipa. Pesa zitakwisha, Watanzania watabaki washindi
Hivyo navyo ni vya kupigwa kiberiti tu havipo kwa ajili ya wananchi vinalinda majizi yanayo umiza wananchi
 
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi?

Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo kimyaa!. Hakika hii dhambi mtailipa. Pesa zitakwisha, Watanzania watabaki washindi
Hivyo navyo ni vya kupigwa kiberiti tu havipo kwa ajili ya wananchi vinalinda majizi yanayo umuza wananchi
 
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi?

Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo kimyaa!. Hakika hii dhambi mtailipa. Pesa zitakwisha, Watanzania watabaki washindi

Kwa sasa ni kususia bidhaa zao ni wajinga sana. Kazi ilikuwa kupiga miziki tu hawakuwa na jipya.
 
Kuna media na media watu kama AZAM nitawasifu mpaka kesho kwa media ambayo single handedly imenyanyua soka na pia imejikita kwenye entertainment kwahio kwenye current situation wanaweza kujikuta wananyimwa hata hio leseni ya kutupa burudani na kutupunguzia haya machungu ya msiba...

LAKINI kuna hawa watu wa ajabu waliokuja na Upuuzi sijui wa idhibati ya waandishi baada ya kujiona wapo irrelevant na hakuna anayewaona wanafaa kwa lolote - wamewabana wabangaizaji wasiingie kwenye hii Fani wakati wao hawawezi wanesahau karne hii ni ya Citizen Journalists...

 
Kwa kweli haya maandamano yameonyesha mazaifu mengi mno sio media pekee bali pia na vyombo vya usalama
Vyombo vya fuccckkin stupid usalama ndio wauaji wenyewe,na mahakama ni hovyo kuliko maharage mabovu, hatuna nchi ila watu wameanza kuamka
 
Umewasikia hawa wahariri wakihojiwa na DW?😀
View attachment 3500553
Duuh siamini hawa ndio vigogo wa media Tanzania!! Hii mbona ni aibu ya karne. No wonder magazeti yamedoda na I hope waTanzania tuachane kabisa na hizi media uchwara ili wajitathmini.

Yaani wanadai maandamano ni mkumbo ila hakuna sababu yoyote? Seriously hata utekaji hawakuona?
 
Walisaini tamko lao kuelekda uchaguzi, ndio wakakaa kimya wananchi wakaanza kubangaiza habari toka media za nje kabla ya kufutiliwa mbali na kuonndolewa kwenye ving'amuzi. kuripoti yale matukio si uchochezi
 
Hatuna media bongo ni makanjanja yamejaa kusifia watawala kwa ujira mdogo
Pia ni waoga kinyama

Media zetu ni TOILET PAPER!
 
Issue ya media ina exposes our broken education system
No our education and exposure iko sawa. Hawa administration system ndo iko na shida kuruhusu wajinga na watu wenye akili mdogo kufikia hatua ya kuongoza taifa.

Vijana wengi wakitanzania wana exposure sana tu. Nafuatiliaga mijadala yao TikTok. Wanajadili hadi financial bills kuliko wabunge waliojaa uchawa.

Wanaitaji tu kiongozi mzr wa kupush. Ndo maana sasa hayupo. Watu kama mange nk wanapata following kubwa kwa sababu hakuna mtu yeyote wa serikali anayeweza kuwaelewa Hawa vijana wa sasa. Wao wanatumia nguvu na akili za kizamani, kutawala vijana wa 2000.

Mtu kama Dorothy Gwajima anapendwa na vijana kisa tu anajua kudeal nao.
Sasa viongozi wa sasa wanafikiri kuwafundisha vijana ni kuzima internet, kwenye nchi ambayo kila kijana anajua kutumia VPN. Naona wamezima hadi Twitter, TikTok,JF nk.

Kwanza ilibidi hata Rais awe na account huko na yeye mara moja moja awe content creator. Kuzima mitandao sijui kublock access ni ujinga tu na zaidi vijana wanazidi kuwaona maboya
 
AZAM media ni wahaini namba moja wameondoa channel za kenya na al Jazeera na sasa ukinunua kifurushi hawaleti huduma na wameblock customer care

Hio kwa sababu channels zote ziko controlled Tanzania, DSTV wameshindwa, Iko controlled Kwa madiba huko!
 
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi?

Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo kimyaa!. Hakika hii dhambi mtailipa. Pesa zitakwisha, Watanzania watabaki washindi
Si umewasikia wahariri. Inaonekana. Wote wanelipwa pesa ndefu kutetea uhuni.Tupadilishe huu utamaduni.
 
Back
Top Bottom